Obado ataangushiwa hukumu ipi? Wazazi wa Sharon wawasili Nairobi kusikiza uamuzi
Only one outlet has reported this so far: treat it as unconfirmed.
WAKAZI wa kaunti za Migori na Homa Bay wanatazamia kwa hamu hukumu itakayotolewa leo, dhidi ya aliyekuwa Gavana wa Migori Okoth Obado na washirika wake wawili waliopatikana na hatia ya mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu Sharon Otieno. Obado, aliyekuwa msaidizi wake Michael Oyamo na aliyekuwa karani wa kaunti hiyo Caspal Obiero, walipatikana na hatia Julai 23, 2026, baada ya kesi iliyodumu kwa miaka minane. Katika Kaunti ya Migori, ambako watatu hao walikuwa na ushawishi mkubwa, wakazi wana maoni tofauti kuhusu adhabu wanayostahili. Baadhi wanataka hukumu kali huku wengine wakitaka mahakama…
How sure are we
Only one outlet so far: treat it as unconfirmed. That doesn’t make it false; it may be new, or an exclusive.
Who reported it
No verification data yet
Checks run automatically as new sources are ingested.
Score bands
What moves the score
Not in the score: AI checks and reader flags. Verified is separate: two or more independent outlets and a score of at least 65%.
High · How we score this