Ripoti: Magenge 309 ya uhalifu yatishia usalama nchini
Only one outlet has reported this so far: treat it as unconfirmed.
BONDE la Ufa, Pwani na Nairobi ndiyo maeneo yanayoongoza kwa idadi kubwa ya magenge ya uhalifu yanayotishia usalama wa wananchi, kwa mujibu wa ripoti mpya iliyowasilishwa bungeni na Rais William Ruto. Ripoti kuhusu hali ya usalama nchini inaonyesha kuwa kuna jumla ya magenge na makundi 309 ya uhalifu kote nchini, ingawa baadhi yake hayafanyi shughuli kwa sasa. Idadi hiyo imeongezeka kwa makundi 200 ikilinganishwa na mwezi uliopita, wakati serikali ilipotangaza kuwa ilikuwa imetambua magenge 109. Mwaka 2016, kupitia Tangazo la Serikali Na. 10427, magenge 89 yalitangazwa kuwa haramu. Ripoti…
How sure are we
Only one outlet so far: treat it as unconfirmed. That doesn’t make it false; it may be new, or an exclusive.
Who reported it
No verification data yet
Checks run automatically as new sources are ingested.
Score bands
What moves the score
Not in the score: AI checks and reader flags. Verified is separate: two or more independent outlets and a score of at least 65%.
High · How we score this