Skip to main content
low sportsVERIFIED

VIJANA WAASWA KULINDA AMANI TANZANIA IKIJIANDAA KWA AFCON 2027

Verified: 2 outlets have reported this story since Nov 20.

📍 Tanzania, TZ·🕐 1h ago·2 outlets

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kulinda amani na usalama wa Tanzania wakati nchi ikijiandaa kupokea wageni wa kimataifa kwa ajili ya shughuli mbalimbali zitakazofanyika nchini. Rais Samia ametoa wito huo leo, Novemba 20, aliposalimia wananchi wa Bomang’ombe, wilayani Hai, akiwa njiani kuelekea mjini Moshi. Amesema idadi ya watalii wanaoingia nchini na mikutano ya kimataifa inayofanyika Tanzania ni kielelezo cha nchi kuendelea kuwa salama. “Ombi langu kwenu ni amani na utulivu kwa nchi yetu,” amesema Rais Dkt. Samia. Ametaja michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ya mwaka…

How sure are we

✓ Verified · 2 outlets

Two or more outlets reported this story and its reliability score reached 65%, so WorldPulse marks it verified. That means more than one outlet says so, not that it is proven true.

How we count · Check a link someone shared

Who reported it

The story so far · 3 reports · ✓ Verified Nov 20, 2:18 PM UTC
  1. Nov 20, 2:18 PM UTCFirst report
    Rais Samia Awaasa Vijana Kulinda Amani, Afunguka Maandalizi Ya Afcon 2027globalpublishers.co.tz ↗
  2. Nov 20, 2:18 PM UTC+0 min
    Rais Samia awataka vijana kulinda amanihabarileo.co.tz ↗
  3. Verified: a second independent outlet reported itNov 20, 2:18 PM UTC · +0 min
  4. Nov 20, 2:18 PM UTC+1 min· you’re reading this
    VIJANA WAASWA KULINDA AMANI TANZANIA IKIJIANDAA KWA AFCON 2027
Location
Verification Log

No verification data yet

Checks run automatically as new sources are ingested.

Discussion (0)

Sign in to join the discussion

No discussion yet — be the first to add context.

Reliability
75%

High · How we score this

Risk Score
low risk