Skip to main content
low geopoliticsUNVERIFIED

RAIS SAMIA AFANIKISHA KUJENGA DARAJA LA KISASA MOHORO, ENEO LILILOTESA SANA WANANCHI. BWANKU AKAGUA MAENDELEO YAKE.

📍 Pwani, TZ·🕐 2d ago

Afisa Tarafa ya Mohoro iliyopo Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani Ndugu Bwanku M Bwanku leo Jumatano Novemba 18, 2026 ametembelea kuona maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mohoro linalokatisha kwenye Mto Mohoro unaomwaga maji yake Bahari ya Hindi. Eneo hili limetesa na kuua wananchi wengi kwa miaka mingi hasa nyakati za mvua ambapo Mto ulijaa na daraja lililopo ni dogo maji yalifunika hivyo kuvuka ilikua lazima utumie mtumbwi au boti. Kumaliza changamoto hiyo, ndipo Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inajenga daraja la kisasa refu la Mita 275 na hata mvua inyeshe vipi na Mto kujaa wananchi…

Who reported it

Location
Verification Log

No verification data yet

Checks run automatically as new sources are ingested.

Discussion (0)

Sign in to join the discussion

No discussion yet — be the first to add context.

Reliability
60%

High · How we score this

Risk Score
low risk