ZAIDI YA WANANCHI 4,500 WAFANYIWA UCHUNGUZI WA MAGONJWA YA MOYO MOROGORO KUSINI MASHARIKI
Na Farida Mangube Morogoro Jumla ya wananchi 4,563 wamefanyiwa uchunguzi wa magonjwa ya moyo na magonjwa mengine yasiyoambukiza kupitia Kambi Maalum ya Afya iliyofanyika katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, mkoani Morogoro. Kambi hiyo iliyoanza Novemba 10 na kufungwa rasmi leo, Novemba 20, 2026, ilifanyika katika tarafa za Ngerengere, Mikese na Mkuyuni kwa lengo la kusogeza huduma za kibingwa za afya karibu na wananchi. Akizungumza wakati wa kufunga kambi hiyo, Waziri wa Afya, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa, alimpongeza Mbunge wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Mheshimiwa Hamiss…
Who reported it
No verification data yet
Checks run automatically as new sources are ingested.
Score bands
What moves the score
Not in the score: AI checks and reader flags. Verified is separate: two or more independent outlets and a score of at least 65%.
High · How we score this