Skip to main content
low securityVERIFIED📡 SPREADING

Obado kula maharagwe jela miaka 25 kwa mauaji ya Sharon Otieno

Verified: 3 outlets have reported this story since Nov 27, 2 of them from Kenya.

📍 Migori, KE·🕐 2h ago·3 outlets

Aliyekuwa Gavana wa Migori Okoth Obado amehukumiwa kifungo cha miaka 25 gerezani kwa mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu Sharon Otieno na mtoto wake ambaye hakuwa amezaliwa mwaka 2018. Mahakama Kuu ya Milimani pia ilimhukumu aliyekuwa msaidizi wake wa kibinafsi Michael Juma Oyamo kifungo cha miaka 25, huku aliyekuwa mfanyakazi wa serikali ya kaunti ya Migori Caspal Ojwang Obiero akifungwa miaka 18. Hukumu hizo zilitolewa na Jaji Cecilia Githua jana. Sharon alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Rongo akisomea stashahada ya afya ya tiba. Alikuwa na ujauzito wa miezi saba…

How sure are we

✓ Verified · 3 outlets

Two or more outlets reported this story and its reliability score reached 65%, so WorldPulse marks it verified. That means more than one outlet says so, not that it is proven true.

How we count · Check a link someone shared

Who reported it

The story so far · 6 reports · ✓ Verified Nov 27, 5:15 AM UTC

2 outlets from Kenya, where the story is: Capital FM News, The Standard · how we count

  1. Nov 27, 4:39 AM UTCFirst report
    Okoth Obado, two aides face sentencing today over Sharon Otieno's murderstandardmedia.co.ke ↗
  2. Nov 27, 5:15 AM UTC+37 min
    Obado Faces Sentencing Over Sharon Otieno Murder as DPP Seeks Death Penaltycapitalfm.africa ↗
  3. Verified: a second independent outlet reported itNov 27, 5:15 AM UTC · +37 min
  4. Nov 27, 10:07 AM UTC+5 h· you’re reading this
    Obado kula maharagwe jela miaka 25 kwa mauaji ya Sharon Otienotaifaleo.nation.co.ke ↗
  5. Nov 27, 11:35 AM UTC+7 h
    Okoth Obado to spend 25 years in prison for Sharon Otieno's murderstandardmedia.co.ke (again) ↗
  6. Nov 27, 11:35 AM UTC+7 h
    Obado to Appeal 25-Year Jail Term, Lawyers Cite Impact on Sharon Otieno’s Familycapitalfm.africa (again) ↗
  7. Nov 27, 11:35 AM UTC+7 h
    Obado, Oyamo Sentenced to 25 Years as Obiero Gets 18 Years Over Sharon Murdercapitalfm.africa (again) ↗
Location
Verification Log1
cross checkconfirmed90%

[Claude] Report 2 covers the same Sharon Otieno murder case against Obado, reporting the sentencing stage that Report 1 describes as completed; it does not contradict Report 1.

2h ago
Powered by WorldPulse Verification Engine
Discussion (0)

Sign in to join the discussion

No discussion yet — be the first to add context.

Reliability
88%

Very high · How we score this

Risk Score
low risk