DKT. MWIGULU: HUKUMU ZA MAHAKAMA LAZIMA ZIHESHIMIWE
▪️ Aeleza hatua tatu za kuharakisha miradi ya barabara nchini WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza kuwa hukumu za mahakama lazima ziheshimiwe na kutekelezwa kwa mujibu wa sheria, akisema mtu asiyeridhika na uamuzi wa mahakama anapaswa kutumia taratibu za kisheria kuupinga badala ya kuzuia utekelezaji wake. Ameyasema hayo leo, Jumamosi, Novemba 21, 2026, wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mtongani, Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha, mkoani Pwani. Kauli hiyo imefuatia malalamiko ya Omari Rajabu Mganga, mkazi wa Kata…
Who reported it
No verification data yet
Checks run automatically as new sources are ingested.
Score bands
What moves the score
Not in the score: AI checks and reader flags. Verified is separate: two or more independent outlets and a score of at least 65%.
High · How we score this