Skip to main content
low geopoliticsVERIFIED

MWIGULU AAGIZA SOKO LA MLANDIZI KUKAMILIKA DISEMBA 2026,AWATOA HOFU WAKANDARASI

Verified: 2 outlets have reported this story since Nov 21.

📍 Kibaha, TZ·🕐 7h ago·2 outlets

Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha Vijijini WAZIRI Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa soko la kisasa la Mlandizi, wilayani Kibaha Vijijini, mkoani Pwani, lenye thamani ya Sh bilioni 7.7, huku akimuagiza mkandarasi kukamilisha mradi huo ifikapo Desemba mwaka huu. Aidha, amewahakikishia wakandarasi nchini kuwa kuanzia sasa hakutakuwa na kisingizio cha kuchelewesha miradi kutokana na kutolipwa fedha, akisisitiza Serikali imeweka kipaumbele katika ulipaji wa madeni ya wakandarasi ili kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati. Akizungumza Novemba 21, 2026, wakati wa ziara ya…

How sure are we

✓ Verified · 2 outlets

Two or more outlets reported this story and its reliability score reached 65%, so WorldPulse marks it verified. That means more than one outlet says so, not that it is proven true.

How we count · Check a link someone shared

Who reported it

The story so far · 3 reports · ✓ Verified Nov 21, 4:39 PM UTC
  1. Nov 21, 11:59 AM UTCFirst report
    Mwigulu aagiza soko la Mlandizi kukamilika Desemba, aonya kupandisha gharama za vizimbajamhurimedia.co.tz ↗
  2. Nov 21, 2:51 PM UTC+3 h· you’re reading this
    MWIGULU AAGIZA SOKO LA MLANDIZI KUKAMILIKA DISEMBA 2026,AWATOA HOFU WAKANDARASI
  3. Nov 21, 4:39 PM UTC+5 h
    Mwigulu Atoa Onyo kwa Viongozi Wanaojiigawia Vizimba, Aagiza Wapewe Wafanyabiashara Mlandiziglobalpublishers.co.tz ↗
  4. Verified: a second independent outlet reported itNov 21, 4:39 PM UTC · +5 h
Location
Verification Log

No verification data yet

Checks run automatically as new sources are ingested.

Discussion (0)

Sign in to join the discussion

No discussion yet — be the first to add context.

Reliability
75%

High · How we score this

Risk Score
low risk