VET MARATHON KUPAMBA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UDAKTARI WA MIFUGO SUA
Na Farida Mangube Morogoro Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kinatarajia kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwa mafunzo ya udaktari wa mifugo chuoni hapo, kwa kufanya shughuli mbalimbali zitakazohusisha mbio za marathoni, utoaji wa huduma za uchunguzi na matibabu ya wanyama bila malipo, pamoja na uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Akizungumza na waandishi wa habari chuoni hapo, Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Rafael Chibunda, amesema tangu kuanzishwa kwa mafunzo hayo, zaidi ya madaktari wa mifugo 1,580 kutoka ndani na nje ya Tanzania wamehitimu katika chuo hicho. Profesa…
Who reported it
No verification data yet
Checks run automatically as new sources are ingested.
Score bands
What moves the score
Not in the score: AI checks and reader flags. Verified is separate: two or more independent outlets and a score of at least 65%.
High · How we score this