Skip to main content
low geopoliticsUNVERIFIED

Wanafunzi 90 wa Tanzania watua Algeria

📍 Tanzania, TZ·🕐 3d ago

BALOZI wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, amewataka wanafunzi wa Tanzania waliowasili nchini Algeria kusoma kwa juhudi na bidii wakitambua kwamba wao ni ndoto na fahari ya taifa. Akizungumza na wanafunzi hao mnamo tarehe 25 Novemba, 2026, kwenye Chuo Kikuu cha Blida kilichopo kilomita 45 kutoka Algiers wakati wakijiandaa kuelekea vyuoni mwao, Balozi Matinyi aliwasisitizia kuishi kama ndugu wakikumbuka kwamba wanaibeba heshima ya Tanzania na Programu ya Ufadhili ya Samia. “Tambueni kwamba mnaibeba heshima ya nchi yetu kupitia Samia Scholarship ambayo ni…

Who reported it

Location
Verification Log

No verification data yet

Checks run automatically as new sources are ingested.

Discussion (0)

Sign in to join the discussion

No discussion yet — be the first to add context.

Reliability
60%

High · How we score this

Risk Score
low risk