Skip to main content
low geopoliticsUNVERIFIED

SAROTOGA YAGONGANA NA YUTONG CHALINZE, WATU WATATU WAJERUHIWA

📍 Pwani, TZ·🕐 1d ago

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani WATU watatu wamejeruhiwa katika ajali ya magari mawili kugongana iliyotokea eneo la Chamkweza, njia panda ya mnadani, Tarafa ya Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani. Ajali hiyo imetokea Novemba 20, 2026, majira ya saa 7:50 asubuhi, ikihusisha basi la Sarotoga lililokuwa likitokea Morogoro kuelekea Dar es Salaam na gari aina ya Yutong lenye namba za usajili T.453DCX, lililokuwa likitokea Kigoma kuelekea Dar es Salaam. Kaimu Kamanda wa Polisi, Kamishna Msaidizi wa Polisi Kennedy Mgani alieleza kuwa gari aina ya Yutong lilikuwa likiendeshwa na Ailly, mwenye umri…

Who reported it

Location
Verification Log

No verification data yet

Checks run automatically as new sources are ingested.

Discussion (0)

Sign in to join the discussion

No discussion yet — be the first to add context.

Reliability
60%

High · How we score this

Risk Score
low risk